Ufafanuzi wa andaana katika Kiswahili

andaana

kitenzi sielekezi

  • 1

    tayarishana mke na mume kabla ya tendo la ndoa.

    nyegereshana

Matamshi

andaana

/anda:na/