Ufafanuzi wa angalia katika Kiswahili

angalia

kitenzi elekezi

 • 1

  shufu
  , → angaza
  , → tazama
  , and → lola

 • 2

  kuwa makini.

  itabiri, fikiria

 • 3

  ‘Angalia usijikwae’
  tahadhari, busuri

 • 4

  ‘Angalia watoto vizuri’
  simamia, tunza, hudumia, hami

Matamshi

angalia

/angali.ja/