Ufafanuzi msingi wa anisi katika Kiswahili

: anisi1anisi2

anisi1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    pendeza sana.

    furahisha, tamia

Asili

Kar

Matamshi

anisi

/anisi/

Ufafanuzi msingi wa anisi katika Kiswahili

: anisi1anisi2

anisi2

kivumishi

  • 1

    -a kufurahisha; -a kupendeza; -a anasa.

Asili

Kar

Matamshi

anisi

/anisi/