Ufafanuzi wa anofelesi katika Kiswahili

anofelesi

nominoPlural anofelesi

  • 1

    aina ya mbu anayeeneza ugonjwa wa malaria.

Asili

Kng

Matamshi

anofelesi

/anɔfɛlɛsi/