Ufafanuzi wa anthropolojia katika Kiswahili

anthropolojia

nominoPlural anthropolojia

  • 1

    elimu ya binadamu inayohusiana na habari za asili na maendeleo yake ya awali.

Asili

Kng

Matamshi

anthropolojia

/anθrɔpɔlɔʄija/