Ufafanuzi wa antifona katika Kiswahili

antifona

nominoPlural antifona

Kidini
  • 1

    Kidini
    aya ya wimbo unaotangulia Zaburi.

  • 2

    Kidini
    utenzi au wimbo wowote katika ibada ya Ukristo.

Asili

Kng

Matamshi

antifona

/antifɔna/