Ufafanuzi wa anua katika Kiswahili

anua

kitenzi elekezi~lia, ~liana, ~lika, ~lisha, ~liwa

  • 1

    ondoa kitu kilichoanikwa.

Matamshi

anua

/anuwa/