Ufafanuzi wa anuka katika Kiswahili

anuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    toweka kwa mawingu mazito au kiza.

    pusa

Matamshi

anuka

/anuka/