Ufafanuzi wa anwani katika Kiswahili

anwani

nominoPlural anwani

  • 1

    maelezo ya mahali mtu anapoishi au anapofanyia kazi ambapo barua zinaweza kutumwa.

Asili

Kar

Matamshi

anwani

/anwani/