Ufafanuzi wa arachia katika Kiswahili

arachia

nomino

  • 1

    mti mrefu wenye kunukia na wenye matawi mengi.

Asili

Kng

Matamshi

arachia

/aratāˆ«ija/