Ufafanuzi msingi wa ashiki katika Kiswahili

: ashiki1ashiki2ashiki3

ashiki1

kitenzi elekezi~ia, ~iana, ~ika, ~isha, ~iwa

 • 1

  penda sana.

Asili

Kar

Matamshi

ashiki

/a∫iki/

Ufafanuzi msingi wa ashiki katika Kiswahili

: ashiki1ashiki2ashiki3

ashiki2

nominoPlural ma, Plural ashiki

 • 1

  mtu anayependa kitu sana.

  ‘Juma ni ashiki wa mpira’

Asili

Kar

Matamshi

ashiki

/a∫iki/

Ufafanuzi msingi wa ashiki katika Kiswahili

: ashiki1ashiki2ashiki3

ashiki3

nominoPlural ma, Plural ashiki

 • 1

  tamaa ya kiume au kike ya kutaka kufanya mapenzi.

  nyege, hawaa, hanjamu, muhu

Asili

Kar

Matamshi

ashiki

/a∫iki/