Ufafanuzi wa athari katika Kiswahili

athari

nominoPlural athari

 • 1

  matokeo au alama inayobakia kwa muda baada ya mtu au kitu kufikwa na jambo fulani.

 • 2

  hali inayomwambukiza mtu tabia au mazoea yake.

 • 3

  jeraha

 • 4

  alama

Asili

Kar

Matamshi

athari

/aθari/