Ufafanuzi wa athiri katika Kiswahili

athiri

kitenzi elekezi

  • 1

    tia doa au dosari.

    jeruhi

  • 2

    shawishi mtu kufanya jambo.

Asili

Kar

Matamshi

athiri

/aθiri/