Ufafanuzi msingi wa azimu katika Kiswahili

: azimu1azimu2

azimu1

kitenzi elekezi

  • 1

    fanyia talasimu au hirizi.

Asili

Kar

Matamshi

azimu

/azimu/

Ufafanuzi msingi wa azimu katika Kiswahili

: azimu1azimu2

azimu2

kitenzi elekezi

  • 1

    kusudia kufanya jambo fulani.

    funga, anza

Asili

Kar

Matamshi

azimu

/azimu/