Ufafanuzi wa baada katika Kiswahili

baada

kielezi

 • 1

  muda unaofuata wakati uliotajwa.

  methali ‘Baada ya dhiki faraja’
  methali ‘Baada ya kisa mkasa’
  methali ‘Baada ya chanzo kitendo’
  halafu, kisha

Asili

Kar

Matamshi

baada

/ba:da/