Ufafanuzi wa baharia katika Kiswahili

baharia

nominoPlural mabaharia

  • 1

    mfanyakazi wa chombo cha baharini.

    mwanamaji, mwanapwa

Asili

Kar

Matamshi

baharia

/baharija/