Ufafanuzi wa bahati katika Kiswahili

bahati

nomino

 • 1

  ‘Pata bahati’
  nyota
  , → jaha
  , → sudi
  , → fali
  , → neema
  , → nujumu
  , and → nasibu
  ‘Kosa bahati’

 • 2

  jambo jema au baya.

  ‘Bahati njema’
  ‘Bahati mbaya’

Asili

Kaj / Kar