Ufafanuzi wa bahau katika Kiswahili

bahau

nominoPlural mabahau

  • 1

    mtu asiyeelewa mambo.

    mpumbavu, bozi

Matamshi

bahau

/bahawu/