Ufafanuzi wa bakua katika Kiswahili

bakua

kitenzi elekezi

  • 1

    chukua kwa nguvu.

    nyang’anya, pokonya, bekua, bwakua, pora, poka

  • 2

    ‘Alinibakua makofi’
    piga

Matamshi

bakua

/bakuwa/