Ufafanuzi msingi wa bambo katika Kiswahili

: bambo1bambo2

bambo1

nominoPlural bambo, Plural mabambo

 • 1

  chombo cha kuchotea nafaka katika gunia ili kuona namna yake.

  ‘Piga bambo’

 • 2

  fimbo ya kutembelea.

Matamshi

bambo

/bambɔ/

Ufafanuzi msingi wa bambo katika Kiswahili

: bambo1bambo2

bambo2

nominoPlural bambo, Plural mabambo

 • 1

  aina ya miyaa inayotumika kutengenezea majamvi, makanda na kutandia vitanda.

 • 2

  mfuko wa miyaa unaotumika kutilia nafaka.

  kanda

 • 3

  fumba

Matamshi

bambo

/bambɔ/