Ufafanuzi wa bambuti katika Kiswahili

bambuti

nominoPlural bambuti

  • 1

    samaki mwenye miba kama nungunungu.

Matamshi

bambuti

/bambuti/