Ufafanuzi wa bandiko katika Kiswahili

bandiko

nominoPlural mabandiko

  • 1

    tendo la kubandika.

Matamshi

bandiko

/bandikɔ/