Ufafanuzi wa bangi katika Kiswahili

bangi

nominoPlural bangi

  • 1

    majani ya mbangi yanayolevya au kupumbaza akili yanapotafunwa au kusokotwa katika kipande cha karatasi na kuvutwa kama sigara.

    ganja, hashishi

Asili

Kaj/Khi

Matamshi

bangi

/bangi/