Ufafanuzi wa Baniani katika Kiswahili

Baniani

nominoPlural maBaniani

  • 1

    Mhindi wa dini ya Kihindu, agh. mfanyabiashara.

    methali ‘Baniani mbaya, kiatu chake dawa’

Asili

Khi

Matamshi

Baniani

/banijani/