Ufafanuzi wa bano katika Kiswahili

bano

nominoPlural mabano

  • 1

    chombo kama jiriwa ambacho seremala au mhunzi hutumia kubania mbao au chuma.

    gango

Matamshi

bano

/banɔ/