Ufafanuzi wa baradhuli katika Kiswahili

baradhuli

nomino

  • 1

    mtu asiye na heshima.

    zebe

Asili

Kar

Matamshi

baradhuli

/baraĆ°uli/