Ufafanuzi wa barangeni katika Kiswahili

barangeni

nominoPlural mabarangeni

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    aina ya jahazi lenye rangi mbili au mstari mweupe.

Asili

Kaj

Matamshi

barangeni

/barangɛni/