Ufafanuzi msingi wa baraza katika Kiswahili

: baraza1baraza2

baraza1

nominoPlural baraza, Plural mabaraza

 • 1

  sehemu ya nje au ya ndani ya nyumba iliyotengenezwa maalumu kwa watu kukaa na kuzungumza.

Matamshi

baraza

/baraza/

Ufafanuzi msingi wa baraza katika Kiswahili

: baraza1baraza2

baraza2

nominoPlural baraza, Plural mabaraza

 • 1

  kikundi cha watu walioteuliwa au kuchaguliwa na kupewa madaraka maalumu.

  ‘Baraza la wazee’

 • 2

  mkusanyiko wa watu kwa ajili ya mazungumzo ya kawaida, sherehe, n.k.; mkutano wa marafiki.

 • 3

  mahakama, korti

 • 4

  kitala

Matamshi

baraza

/baraza/