Ufafanuzi wa bashashi katika Kiswahili

bashashi

kivumishi

  • 1

    -enye furaha.

    -changamfu, -cheshi

Asili

Kar

Matamshi

bashashi

/ba∫a∫i/