Ufafanuzi wa batiza katika Kiswahili

batiza

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

Kidini
  • 1

    Kidini
    tia mtu maji katika ibada ya kumpokea katika dini ya Kikristo.

Asili

Kng

Matamshi

batiza

/batiza/