Ufafanuzi wa batuka katika Kiswahili

batuka

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

  • 1

    sema au ongea kwa sauti kubwa.

Matamshi

batuka

/batuka/