Ufafanuzi wa bawa katika Kiswahili

bawa, ubawa

nominoPlural mabawa

  • 1

    kiungo cha ndege au mdudu kimwezeshacho kuruka.

  • 2

    kitu chochote kifananacho au kifanyacho kazi ya bawa.

    ‘Bawa la eropleni’

Matamshi

bawa

/bawa/