Ufafanuzi wa bawibu katika Kiswahili

bawibu

kitenzi elekezi

  • 1

    gawanya katika milango au sura.

    ‘Niliubawibu muswada wake’

Asili

Kar

Matamshi

bawibu

/bawibu/