Ufafanuzi wa bazoka katika Kiswahili

bazoka

nominoPlural bazoka

  • 1

    bunduki ndefu iliyo nyepesi ambayo huegemezwa begani wakati wa kufyatuliwa na agh. hutumika kushambulia vifaru.

Asili

Kng

Matamshi

bazoka

/bazɔka/