Ufafanuzi wa belewasi katika Kiswahili

belewasi

nomino

  • 1

    mnyama jamii ya nyani.

Matamshi

belewasi

/bɛlɛwasi/