Ufafanuzi wa bembeleza macho katika Kiswahili

bembeleza macho

msemo

  • 1

    legeza macho ili kushawishi mtu kufanya uasherati.