Ufafanuzi wa benki katika Kiswahili

benki, banki

nominoPlural benki

  • 1

    shirika la fedha linalohifadhi na kukopesha fedha.

    ‘Benki ya biashara’
    ‘Benki ya nyumba’

Asili

Kng

Matamshi

benki

/bɛnki/