Ufafanuzi wa beza katika Kiswahili

beza, bera

kitenzi elekezi~ana, ~ea, ~eka, ~esha, ~wa

  • 1

    shushia hadhi mtu kwa maneno au vitendo.

    dharau, puuza, fedhehi, tweza, dunisha, rahisi, beua, umbua, adhiri, nyarafu

Matamshi

beza

/bɛza/