Ufafanuzi wa biashara katika Kiswahili

biashara

nominoPlural biashara

 • 1

  ununuzi na uuzaji.

  ‘Biashara ya jumla’
  ‘Biashara ya rejareja’
  methali ‘Biashara haigombi’
  uchuuzi

Asili

Kar

Matamshi

biashara

/bija∫ara/