Ufafanuzi wa bimbirisha katika Kiswahili

bimbirisha

kitenzi elekezi~ana, ~ia, ~iana, ~ika, ~iwa, ~wa

  • 1

    sukuma kwa nguvu.

Matamshi

bimbirisha

/bimbiri∫a/