Ufafanuzi wa birika katika Kiswahili

birika

nominoPlural mabirika

  • 1

    tangi kubwa la kutilia maji.

  • 2

    chombo cha kutilia chai.

    buli, dumu

Asili

Kar

Matamshi

birika

/birika/