Ufafanuzi wa bohadi katika Kiswahili

bohadi

kitenzi elekezi

Kibaharia
  • 1

    Kibaharia
    ongeza urefu wa demani.

Matamshi

bohadi

/bɔhadi/