Ufafanuzi wa boji katika Kiswahili

boji

nominoPlural boji

  • 1

    kinywaji aina ya uji wa wimbi au mtama, hutumiwa kikiwa baridi.

  • 2

    pombe ya pumba za mahindi.

Asili

Kar

Matamshi

boji

/bɔʄi/