Ufafanuzi msingi wa bokoka katika Kiswahili

: bokoka1bokoka2

bokoka1

kitenzi sielekezi~ea, ~esha, ~eka

  • 1

    penda kula sana; kuwa mlafi.

Matamshi

bokoka

/bɔkɔka/

Ufafanuzi msingi wa bokoka katika Kiswahili

: bokoka1bokoka2

bokoka2

kitenzi sielekezi~ea, ~esha, ~eka

  • 1

    tokwa na macho kwa ugonjwa au woga.

  • 2

    konda sana.

Matamshi

bokoka

/bɔkɔka/