Ufafanuzi wa bomoa katika Kiswahili

bomoa

kitenzi elekezi~ka, ~lea, ~leana, ~leka, ~lesha, ~lewa

  • 1

    vunja kitu kilichojengwa.

    ‘Bomoa ukuta’
    jengua

  • 2

    vuruga utaratibu au mpango.

Matamshi

bomoa

/bɔmɔwa/