Ufafanuzi wa bopo katika Kiswahili

bopo

nominoPlural mabopo

 • 1

  hali ya kutomasa.

 • 2

  alama inayobaki baada ya kubonyeza.

 • 3

  mahali laini penye tope.

 • 4

  shimo, hasa lenye maji.

Matamshi

bopo

/bɔpɔ/