Ufafanuzi wa boriti katika Kiswahili

boriti

nominoPlural boriti

 • 1

  mti mrefu mnene utumiwao kujengea dari ya nyumba.

 • 2

  mlingoti mrefu wa chuma.

  ‘Boriti ya chuma cha pua’
  mhimili

 • 3

  aina ya nguo yenye michoro ya mistari iliyoelekezwa upande mmoja.

Asili

Kre

Matamshi

boriti

/bɔriti/