Ufafanuzi wa boti katika Kiswahili

boti

nominoPlural boti

  • 1

    chombo kidogo cha kusafiria majini k.v. ziwa au bahari.

  • 2

    chombo kinachoendeshwa na mashine.

Asili

Kng

Matamshi

boti

/bɔti/