Ufafanuzi wa bruda katika Kiswahili

bruda, bradha

nomino

Kidini
  • 1

    Kidini
    mtawa mwanamume asiye kasisi.

Asili

Kng

Matamshi

bruda

/bruda/