Ufafanuzi msingi wa bua katika Kiswahili

: bua1bua2bua3

bua1

nomino

 • 1

  shina la mtama au mhindi.

  ubua

nomino

Ufafanuzi msingi wa bua katika Kiswahili

: bua1bua2bua3

bua2

kivumishi

 • 1

  -epesi.

Matamshi

bua

/buwa/

Ufafanuzi msingi wa bua katika Kiswahili

: bua1bua2bua3

bua3

nomino

 • 1

  chuma kitumiwacho na wahunzi kukolezea moto.

Matamshi

bua

/buwa/